Mwili wa mtoto huyo ukichukuliwa na polisi kwenda kuhifahiwa na kuchunguza chanzo cha moto huo |
Nyumba hii ndimo alimoungulia mtoto huyo |
Baadhi ya majirani wakiwa katika tukio hilo |
Most read Swahili blog on earth
Mwili wa mtoto huyo ukichukuliwa na polisi kwenda kuhifahiwa na kuchunguza chanzo cha moto huo |
Nyumba hii ndimo alimoungulia mtoto huyo |
Baadhi ya majirani wakiwa katika tukio hilo |
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
POLENI SANA WANA FAMILIA MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI AMEEN
ReplyDeleteTUNAOMBA SERIKALI IJITAHIDI KUIMARISHA USALAMA WA RAIA KWA KUWEZA ULINZI WA HALI YA JUU WA KUPAMBANA NA WEZI MAJAMBAZI
TUNAPOPATA WAGENI MBALI MBALI KUTOKA NJE YA NCHI HUWA WANATUPA MASWALI MENGI KUHUSIANA NA NYUMBA ZETU KUJENGEWA MACHUMA MILANGONI NA MADIRISHANI WENGI WA WAGENI HAO HUFIKIRI NI JELA BARIDI
TANZANIA TUNAISHI KWENYE NYUMBA ZETU BILA AMANI WA FURAHA MTU HUWEZI KUJENGA NYUMBA BILA KUWEKA MACHUMA MILANGONI NA MADIRISHANI
TUNAJIJENGEA JELA KWENYE NYUMBA ZETU KUTOKANA NA KUOGOPA WEZI MAJAMBAZI
MFANO KUNAPOTOKEA MOTO KWENYE MIJENGO YETU NI HATARI SANA KWA MAISHA MAANA NAFASI YA KUKIMBILIA ITABAKIA MLANGONI PEKEYAKE MTU HUWEZI KUOKOA MAISHA KWA KUTOA DIRISHANI
SERIKALI TUPENI AMANI WATANZANIA KWANI NGUVU UWEZO WOTE UPO KWENU WAKUU WETU.
Ukuta umeanguka na kuharibu magari, maafisi tele wa jeshi wa vyeo mbali mbali walifika kwa haraka sehemu ya tokeo, leo mtoto amefariki katika ajali ya moto na katika hali ya kutataniza maafisa wa jeshi wamechukuwa zaidi ya masaa matatu.
ReplyDeleteAma kweli masikini hana chake Tanzania!!!!!
Lala pema peponi mtoto Halaika.
Au ule uchawi wa Mbeya umerudi tena? Wanyakyusa wanaongoza kwa madhehebu mengi ya dini na wanaongoza pia kwa mambo ya USHIRIKINA!
ReplyDeleteSleep tight little Angel, bongoland life is still cheap, the poorer you are, the cheaper your life is, so very sad!
ReplyDelete