Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitumia laptop yake kuwaonyesha viongozi mbali mbali wa Mkoa wa Singida masuala muhimu ya maendeleo nchini,wakati alipowasili mkoani humo jana Januari 5 kwa Ziara ya kikazi ya Siku Mbili.Picha na IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mh. Rais naye ni mwanachama Jamiiforums au Globu ya Jamii?

    ReplyDelete
  2. Hivi Mwigulu ana skafu ngapi???....mh kuna watu wana viroja

    ReplyDelete
  3. Mh Rais yupo kidigitally zaidi....

    ReplyDelete
  4. Wewe acha kuhoji skafu hiyo ni alama ya uzalendo ,Mwigulu ni mzalendo halisi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...