Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Je kutakuwa na presidential debate kwenye uchaguzi ujao wa tanzania? Kama inavyoonekana the whole process is healthy. Au kuna vyama vinavyoona vywenyewe havishikiki na haviwezi kulumbana na vyama vidogo (kama vile mgombea wa CCM kulumbana na wa TPP, etc?)

    ReplyDelete
  2. Tatizo nchi masikini kutokana na tamaduni zetu wapiga kura hawabadiliki kwa kufuata nani alichangia mdahalo vizuri, bali kitu mtu tayari ana chama chake atakipigia kura. Hii midahalo ni upotevu wa wakati tu.

    ReplyDelete
  3. nakubali nawe mdau hapo juu huu ni upotevu wa muda na pesa hizo hizo wanazopoteza kwa vikao visivyokuwa na macho wala miguu.
    Tatizo wenzetu wanataka kuiga mifumo kama ya USA lakini kwa kweli utendaji bado ni mbovu! Sijui pengine tuseme ni hatua ya kuelekea mbele ikiwa ukabila, ubinafsi na pengine udini utapunguzwa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...