Home
Unlabelled
Mdahalo wa Pili wa Wagombea Urais Nchini Kenya
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Je kutakuwa na presidential debate kwenye uchaguzi ujao wa tanzania? Kama inavyoonekana the whole process is healthy. Au kuna vyama vinavyoona vywenyewe havishikiki na haviwezi kulumbana na vyama vidogo (kama vile mgombea wa CCM kulumbana na wa TPP, etc?)
ReplyDeleteTatizo nchi masikini kutokana na tamaduni zetu wapiga kura hawabadiliki kwa kufuata nani alichangia mdahalo vizuri, bali kitu mtu tayari ana chama chake atakipigia kura. Hii midahalo ni upotevu wa wakati tu.
ReplyDeletenakubali nawe mdau hapo juu huu ni upotevu wa muda na pesa hizo hizo wanazopoteza kwa vikao visivyokuwa na macho wala miguu.
ReplyDeleteTatizo wenzetu wanataka kuiga mifumo kama ya USA lakini kwa kweli utendaji bado ni mbovu! Sijui pengine tuseme ni hatua ya kuelekea mbele ikiwa ukabila, ubinafsi na pengine udini utapunguzwa.