Mtoto ambaye jina lake halikupatikana mara moja akisoma maandishi yaliyoandikwa leo kwenye ubao wa matangazo wa tawi la Chama fulani cha cha Siasa Mkoani Kigoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ukikitaja kwani unavunja sheria???!!

    ReplyDelete
  2. Inahitaji muungwana wa kweli kuthamini mema anayotendewa, tufungue macho Watanzania tusidanganyike kwa picha za Luninga na ahadi hewa za wenye uchu wa madaraka. Angalia wale waliotaka kukimbia kabla ya kjifunza kusimama, (Egypt hakuna ruhusa ya hata kutoka nje) maendeleo ni jukumu letu sote na sio kufata makundi ya wenye tamaa. Yaliyo hanyika miaka 36 ni mengi mmno kulinganisha na yaliyofanywa na mkoloni pamoja na vibaraka wao. Kidumu Chama Cha Mapinduzi.

    ReplyDelete
  3. Kidumu, CCM OYEEE, na huyo kiongozi wao alitamka mwenye mdomoni, AIKAELI MBOWE KUWA Ametembea ardhini na majini hakuna Rais BORA kama Kikwete

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...