Home
Unlabelled
Ubao wa Matangazo usomekavyo leo mjini Kigoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ukikitaja kwani unavunja sheria???!!
ReplyDeleteInahitaji muungwana wa kweli kuthamini mema anayotendewa, tufungue macho Watanzania tusidanganyike kwa picha za Luninga na ahadi hewa za wenye uchu wa madaraka. Angalia wale waliotaka kukimbia kabla ya kjifunza kusimama, (Egypt hakuna ruhusa ya hata kutoka nje) maendeleo ni jukumu letu sote na sio kufata makundi ya wenye tamaa. Yaliyo hanyika miaka 36 ni mengi mmno kulinganisha na yaliyofanywa na mkoloni pamoja na vibaraka wao. Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
ReplyDeleteKidumu, CCM OYEEE, na huyo kiongozi wao alitamka mwenye mdomoni, AIKAELI MBOWE KUWA Ametembea ardhini na majini hakuna Rais BORA kama Kikwete
ReplyDelete