Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba,Sheria na Utawala Bora Dk.Pindi Chana (wa tatu kutoka kulia)akizungumza na viongozi wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakati wa ziara ya kamati yake katika ofisi hiyo.
Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi Rasilimaliwatu Serikalini Bw.Emmanuel Mlay (aliyesimama) akiwasilisha mada kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Katiba,Sheria na Utawala Bora.
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.HAB Mkwizu (aliyesimama)akiwasilisha kazi za ofisi yake kwa Kamati ya Bunge ya Katiba,Sheria na Utawala Bora ilipofanya ziara ofisini hapo.
Wajumbe wa Kamati ya Katiba,Sheria na Utawala Bora wakiangalia jinsi Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara Serikalini (HCMIS)unavyofanya kazi kupitia mtandao katika ziara waliyoifanya Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
Mwenyekiti Msaidizi wa Kamati ya Bunge ya Katiba ,Sheria na Utawala Bora Mh.William Ngeleja (MB)(wa pili kulia) akichangia mada wakati wa ziara ya kamati hiyo katika Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mwenyekiti msaidizi utawala bora!!! Ehe Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  2. KAma ofisi hii imeweza kujenga hall ambalo linatumika kama la mikutano , kusomea a.a. training, kwanini ofisi nyingine za serikali hazifanyi hivi ili kuokoa mapesa ya kupanga mahoteli makubwa makubwa kwa training hizi? Ankal upo karibu na rais tunaona utufikishie malalamiko yetu haya, kila ofisi ya serikali iwe na hall lake kubwa kuaccomodate watu wake kwa ajili ya mikutano na training, posho jamani za nini wakati mtu yupo ofisi hapo hapo? hebu na rais awe mzalendo KODI ZETU ZINATUUMA, NA TUNASALI SANA KUSHITAKI KWA MWENYE EZ MUNGU JUU YA KODI ZETU JAMANI TUNAUMIA SANA

    ReplyDelete
  3. Namuona Mr Ntukamazina mbunge wa Ngara,nilikuwa sijamuona muda mrefu sana naona hajabadilika

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...