Home
Unlabelled
Mdau Ala nondo ya Udaktari wa Falsafa chuo kikuu cha Surrey university - UK
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera sana, tunangoja mchango wa fani yako katika maendeleo na ustawwi wa taifa. Usije kujiunga na siasa.
ReplyDeleteGBU (ie:God Bless You)
Hongera sana mkuu peleka elimu hiyo bongo nasi tuanze kutengeneza nuklia bomus ahahahaha
ReplyDeleteQuantum Physics. Hivi ndio vichwa. Sasa uje nyumbani tutumie utaalam huo kuliendeleza hili taifa letu lililobarikiwa
ReplyDeleteHongera sana ndugu yangu. Mwenyezimungu akupe afya ,umri wa kuweza kutumia ujuzi na kipaji ulichojaliwa kuleta maendeleo hapa duniani.
ReplyDeletemaseto
Hongera sana Mdau Said Ally Said!
ReplyDeleteUnaweza kuchagua mawili, ama kubakia na kuafanyika kazi zako huko UK, ama kurejea nyumbani TZ ama hata kama utabaki huko unaweza kushiriki ktk masuala mbalimbali nchini hasa tktk Fani yako kwa Kuanzisha na kuandika Rsearch na kubuni Mipango na Miradi ama pia Kuchangia mawazo kwa faida ya nchi!
Said Ally Said....wewe ni soo...PHD in Quantum Physics....!!!!Big up sana sana.....
ReplyDeleteEh Quantum Physics, hakuna kuchakachua hapo!
ReplyDeleteHongera sana kijana we are proud of you, uje utusomeshee watoto wetu nao waipende sayans.
Mdau Said Ally (wa pili toka kushoto)....mbona iko obvious
ReplyDeleteanyways hongera
Hongera sana Dr. PhD in Quantum Physics kaka nakuvulia kofia. Kuna wababaishaji wengi eti wamesoma Business Administration n.k nadhani itabidi wajifunze kuwa wapole. Kama mdau mwingine alivyosema tafadhari usijiingize kwenye siasa wasije waka ku-kibanda/ku-limboka
ReplyDeletePhD ni PhD hata kama ya sanaa....wote ni madaktariiii ngumu kumesaa eeh
ReplyDeleteHongera kusoma chuo kikubwa hapa Uk.chuo hiki kasoma pia DR.Kawambwa shukuru.
ReplyDelete