Mdau Said Ally Said (wapili toka kushoto) akiwa na Professor Sweeney (wa pili toka kulia) na wanafunzi wenzake baada ya kulamba nondoz ya Uzamivu (Doctor of Philosophy) katika masuala ya Quantum Physics katika kitengo cha Advanced Technology Institute (ATI) toka chuo kikuu cha Surrey kilichopo UK.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Hongera sana, tunangoja mchango wa fani yako katika maendeleo na ustawwi wa taifa. Usije kujiunga na siasa.
    GBU (ie:God Bless You)

    ReplyDelete
  2. Hongera sana mkuu peleka elimu hiyo bongo nasi tuanze kutengeneza nuklia bomus ahahahaha

    ReplyDelete
  3. Quantum Physics. Hivi ndio vichwa. Sasa uje nyumbani tutumie utaalam huo kuliendeleza hili taifa letu lililobarikiwa

    ReplyDelete
  4. Hongera sana ndugu yangu. Mwenyezimungu akupe afya ,umri wa kuweza kutumia ujuzi na kipaji ulichojaliwa kuleta maendeleo hapa duniani.
    maseto

    ReplyDelete
  5. Hongera sana Mdau Said Ally Said!

    Unaweza kuchagua mawili, ama kubakia na kuafanyika kazi zako huko UK, ama kurejea nyumbani TZ ama hata kama utabaki huko unaweza kushiriki ktk masuala mbalimbali nchini hasa tktk Fani yako kwa Kuanzisha na kuandika Rsearch na kubuni Mipango na Miradi ama pia Kuchangia mawazo kwa faida ya nchi!

    ReplyDelete
  6. Said Ally Said....wewe ni soo...PHD in Quantum Physics....!!!!Big up sana sana.....

    ReplyDelete
  7. Eh Quantum Physics, hakuna kuchakachua hapo!

    Hongera sana kijana we are proud of you, uje utusomeshee watoto wetu nao waipende sayans.

    ReplyDelete
  8. Mdau Said Ally (wa pili toka kushoto)....mbona iko obvious

    anyways hongera

    ReplyDelete
  9. Hongera sana Dr. PhD in Quantum Physics kaka nakuvulia kofia. Kuna wababaishaji wengi eti wamesoma Business Administration n.k nadhani itabidi wajifunze kuwa wapole. Kama mdau mwingine alivyosema tafadhari usijiingize kwenye siasa wasije waka ku-kibanda/ku-limboka

    ReplyDelete
  10. PhD ni PhD hata kama ya sanaa....wote ni madaktariiii ngumu kumesaa eeh

    ReplyDelete
  11. Hongera kusoma chuo kikubwa hapa Uk.chuo hiki kasoma pia DR.Kawambwa shukuru.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...