Boney M waliimba 'Jambo Bwana' kwa Kiswahili nasi tunawapa watani wetu wa jadi kwa kupata rais wa nne
Boney M waliimba 'Jambo Bwana' kwa Kiswahili nasi tunawapa watani wetu wa jadi kwa kupata rais wa nne
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Boney M,
ReplyDeleteKundi hili lilitesa sana hapo Jijini Stuttgart-Ujerumani, palipokuwa Makazi yake makuu Enzi hizo miaka ya 1979-1981 hivi.
Liliundwa mwaka 1975 lakini likapata umaarufu zaidi miaka hiyo hapo juu.
Ohhh, tunalia saaana, tunakumbuka mbali saaana!