Kijiji cha Mkoka wilayani Kongwa Mkoa wa Dodoma kina mbwa wengi sana. Mmoja wao alikatisha katikati ya kadamnasi leo wakati wa sherehe za uzinduzi wa mradi wa ukarabati wa miundombinu ya kusambaza umeme mkoani Dodoma chini ya ufadhili wa Watu wa Marekani kupitia Shirika la Mfuko wa Changamoto za millenia (MCC) ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Mradi huo utanufaisha jumla ya vijiji 16 vya Dodoma kuwa na umeme wa uhakika
Baada ya kuona mbwa huyo akielekea jukwaa kuu, Ras Makunja mmoja akajitokeza na kuzuia tafrani ambayo ingejitokeza endapo mbwa huyo angetinga jukwaa kuu...
Akionesha ukakakamavu wa hali ya juu Ras Makunja huyo aliweka mambo sawa kwa kumwelekeza mbwa huyo kwengineko. Ni tukio la sekunde tatu lakini Kamera ya Globu ya Jamii iliweza kurekodi kila hatua kama inavyoonekana....
mwe !mwe ! mwe! Kikamanda ketu Ras Makunja a.k.a field marshal,mkuu wa anunnaki empire,naona akiwa kazini kwake
ReplyDeletehuyu mbwa anacheza kamanda ras makunja,atageuzwa kitowewo
ReplyDeletechezea ! ras makunja ,huu muziki anaoutaka huyu mbwa ? angepigwa kabali za kikariakoo,
ReplyDeletekamanda ras makunja hilo jibwa lingeleta za kuleta lingejikuta linachomwa mishikaki,mjengwa nyama hiyooo
ReplyDeletekiasi cha mbwa kajua wapi? kwa kukimbilia vingevyo sebene lake lingekua kubwa,tunavyomjua kamanda ras makunja
ReplyDeletehili jibwa linataka kuchezeshwa bongo tambabare ya ras makunja
ReplyDeletesio mchezo mbwa anataka muziki wa Ras Makunja
ReplyDeleteduh! ras makunja huyu mnyama ungempata ungefuta uchache kutoka kina mjengwa na Galinoma aka butijiwe
ReplyDeletemungu wangu kijibwa kimekatiza katika anga za kamanda ras makunja,
ReplyDeleteField-marshal kamanda ras makunja naona huyo mbwa anataka muziki,sasa kamanda tuongee basi iko kigitaa kiunoni mie nimefika bei
ReplyDeleteField-marshal kamanda ras makunja naona huyo mbwa anataka muziki,sasa kamanda tuongee basi iko kigitaa kiunoni mie nimefika bei
ReplyDeletenaona leo supu ya mawe itakua ya mbwa,ras makunja hapo mpaka kieleweke
ReplyDeleteeboo! hiki kijibwa kinataka kumfundisha kazi Ras makunja tena mbele ya amiri jeshi mkuu! Ras makunja vijibwa kama hivi achezi navyo hapa leo kingeeleweka kama kijibwa kingejaribu kubwaka
ReplyDeletehuyu mbwa kama asingefuata njia nyingine tunajua ras makunja lazima angeanza nae na sebene,usifanye mchezo na ras makunja mbele ya muzuki wake
ReplyDeletete!te! mbwa anataka kuchafua hali ya hewa katika himaya ya Ras Makunja?
ReplyDeletemkuu ras makunja hataki kuona fujo fujo kama hizi tena mbele ya mkuu wa dola.mbwa si bure katumwa anataka kuvurunda kazi ya ras makunja,tena aliyemtuma mbwa huyu ashukuru hapa pana JK kama wangekua watu wengine tuu muziki ungeanza
hiiii! Ras makunja naona huyu bobi anataka kukuharibia kazi
ReplyDeletewewe mbwa huna adabu? ukatize mbele ya ras makunja hata siku moja haiwezekani rudi ulikotumwa
ReplyDeleteah ,ras makunja naona mbwa anataka kuloga kazi! anavamia hadi kwenye himaya yako? kaponea chupu chupu kama asingekuapo mkuu hapo najua ungemchezesha bongo tambarare
ReplyDelete