Balozi wa Tanzania nchini China,Philip Marmo (katikati) akizungumza na Ujumbe wa Bodi ya Utalii Tanzania uliyopo nchini China kwa kazi maalum ya kutangaza Utalii wa Tanzania nchini humo.
Maafisa kutoka Ujumbe wa Tanzania walioko nchini China kwa kazi maalum ya kutangaza utalii wa Tanzania.
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii nchini Balozi Charles Sanga akisani kitabu cha wageni katika ofisi ya Ubalozi wa Tanzania nchini China.Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini China,Philip Marmo.
Sasa huo Utalii wanautangaza Ubalozi wa Tanzania???
ReplyDeleteMnafanya mambo mazuri sana, na hela nyingi kwa mabillion zinaingia katika nchi ya Tanzania kupitia utalii,Lakini kwa bahati mbaya mahela yota yanaingia kwenye mfuko wa serikali uliotoboka, ingekosa hiyo nchi ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
ReplyDeleteTufanye kitu kuuziba mfuko uliotoboka.
Lazima tukubali kwamba umefika wakati tubadili mkakati wa kujiuza nje...
ReplyDelete1. tuwaandae na kuwatumia watanzania wanaoishi ktk masoko tunayo yataka(si kutuma tu ujumbe na ziara za per diem zikiisha tunabebana kurudi nyumbani soko linabaki na washindani wengine).
2. Tuboreshe product zetu ili zikidhi kiwango cha soko na wakati. wanadiaspora, wanalala, wanaamka na wanaishi na wateja ambao tunawataka wanunue bidaa zetu. Tuwatumie kwenye ushauri kazi wanafahamu yaamkayo.
..Tusiwadharau wajakazi wa ndani...
Maina A. Owino
Sasa Chairman anasimamia vipi utendaji wakati mweneyewe anaingilia utendaji. Huyu ni non-executive Chairman anatafuta nini kweneye safari kama hiyo- aangalie/asimamie sera,mipango na utekelezaji.
ReplyDelete