Mrs Eunice Chiume, Meneja Kiongozi wa Uhusiano na huduma kwa Wateja mara baada ya kukabidhiwa Kikombe cha Ushindi wa Kwanza katika kundi la Utoaji Huduma Kwa Jamii, Kutoka kwa Mhe. Dr. Abdallah Kigoda, Waziri wa Viwanda na Biashara katika Maonyesho ya Kibiashara Ya Kimataifa ya Tanga, mjini Tanga.

 Baadhi ya watu waliofika katika banda la Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wakipata huduma mbalimbali za zinazotolewa na Shirika hilo.
 Huduma za Afya zikitolewa.
Ofisa Mwandamizi Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Theopista Muheta akitoa maelezo kwa wakazi wa jiji la Tanga waliofika katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye viwanja vya Tangamano 
 Meneja Kiongozi Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume, akitoa maelezo kuhusu shughuli za NSSF kwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Dk. Abdallah Kigoda,alipotembelea banda la NSSF katika Maonyesho ya Kibiashara Ya Kimataifa yanayofanyika jijini Tanga.
Meneja  Kiongozi  Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),  Eunice Chiume (kushoto) akitoa maelezo juu ya huduma za shirika hilo wakati  wa maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika kwenye viwanja vya Tangamano jijini Tanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...