Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman ( wa pili kulia), Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mhe. Fakih Jundu (wa kwanza kulia),na Majaji wa Mahakama ya Rufani pamoja na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju wakiwa Katika picha ya pamoja na kundi la baadhi ya Mawakili wapya walioapishwa Leo jijini Dar es Salaam.
(Picha zote na Mary Gwera, Mahakama ya Tanzania)
Home
Unlabelled
Sherehe ya 48 ya kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya Katika viwanja vya Karimjee jijini Dar leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...