Mdau Donald Wilson Ndesanjo (shoto) aliyekula Nondozzz ya BA International Business Chuo Kikuu cha Middlesex University nchini Uingereza.akiwa katika picha ya pamoja na Wazazi wake,Baba Wilson Ndesanjo na Mama Florence Ndesanjo pamoja na Dada yake Leonora Ndesanjo wakati wa mahali yao yaliyofanyika hivi karibuni.
Mdau Donald Ndesanjo akiwa na Marafiki zake Daniel kutoka Jamaica na Mohamed kutoka Dubai wakifurahi baada ya kulamba Nondozz zao.
Mdau Donald na wanafunzi wenzake wa pili Ania na Alexandra kutoka Poland.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2013

    ANKALI MIMI UNANICHANGANYA, HIVI NI KULA NONDOZZ? AU KULAMBA NONDOZZ? TOFAUTI IKO WAPI?
    MWISHOWE WENGINE WATATAFUNA NONDOZZ

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 20, 2013

    Chuo kinaitwa middlesex?du!Haya bwana. Kwa David huko hahahaaaa!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...