Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 20, 2013

    You guys(Responsible for hiring) should be able to pay Travel,accommodation and meals for these eight(8)Tanzanians coming for this interview.These costs are ,often,part of the hiring process ili mradi tu wawasilishe risiti halali au mnasemaje 'wajameni'?Ni ushauri tu.

    David V

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 21, 2013

    Hahaha mdau wa kwanza,siku hizi mambo ya soko huria yaani hata hao walioitwa kwa usahili hawana ubavu wa kutonesha kidonda hiko ili wasibadilishiwe kibao,ufinyu wa nafasi za kazi, wingi wa wahitimu,mabadiliko ya sheria za kazi(waajiri/waajiriwa) na kuwepo kwa soko huria limeondoa mambo mengi ya msingi ambayo zamani yalikua yakiambatana ktk ajira.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 21, 2013

    Nakubaliana na mchangiaji hapo juu, hii ni serikali na ina jukumu kulipia gharama za usafiri na zinginezo za candidates. Have a standard rate for based on actual cost of living and if someone wants to stay at a 5 star hotel it is his problem. It is a shame to let the candidates to pay for themselves, especially for a govt interview!
    By the way why publish their phone numbers? this is breach of their privacy

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...