Wananchi wa Dc walitoa yao ya moyoni wakiwa na mabango mbali mbali kwenye maandamano ya miaka 50 tangu mwanaharakati wa haki za kiraia Martin Luther King kuandamana mwaka 1963.

Wamarekani weusi wanapiga ngoma pia hapa wakisheherekea kwa ngoma za asili.Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com


Hakuna virungu wala mabomu ya machozi,mbwa wala farasi.
ReplyDelete