Waamuzi na timu makepteni wakijuzana kuhusu uelekeo wa kila timu
Timu ya Kagera Sugar ndiyo iliyotangulia kupata bao kwenye uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, kupitia mchezaji Themi Felix Buhaja aliyefunga bao la kichwa baada ya kupigwa kona katika dakika ya 25 ya kipindi cha kwanza. Kipindi cha pili dakika ya 55 Khamis Mcha ‘Vialli’ aliisawazishia  Azam FC bao na kufanya mpira kuisha kwa matokeo hayo hayo mpaka dakika 90 za mchezo. Kwa picha zaid na mdau Faustine Ruta 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Omg, what footie pitch, is like a potatoes field,ha ha ha haa, tunaweza kwenda Brazil viwanja vyetu namna hii,aibu kubwa.

    ReplyDelete
  2. huu uwanja wa mpira au shamba la mahindi. kukuza soka kuendane na uboreshaji wa viwanja vyetu. la si hivyo itakuwa work done equal to zero.

    ReplyDelete
  3. Kweli hii ni aibu. Uwanja wa mkoa kweli uko hivi na viongozi wanaendekeza ugomvi wa kisiasa! Bukoba itaendelea kweli??? Wajinga waliwao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...