Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inaendelea na zoezi la uchukuaji alama za vidole, picha na kuweka saini ya kieletroniki kwa wakazi wa Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam. Zoezi hili kwa Temeke linatarajiwa kukamilika Jumapili ya tarehe 15 Septemba, 2013.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya VItambulisho vya Taifa (NIDA) akikagua uchukuaji alama za vidole, picha kwa wakazi wa Temeke.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Chonde chonde ndugu zangu watanzania tuwe makini na vihiyo au wahamiaji haramu ili wasipatiwe hivyo vitambulisho,wajumbe wa nyumba kumi mwendo uleule wa enzi ya NYERERE hakuna kumkumbatia muhamiaji haramu coz ni hatali kwa TAIFA LETU,jamani jamani madada zangu muwe makini na hao majangili au wahamiaji haramu hawana mapenzi ya ukweli kwenu hao taget yao wao ni URAIA wa TANZANIA TU,mfano wanaokamatwa huku ugaibuni na madawa ya kulevya wengi wao wameupata uraia wa Tanzania kupitia kwenu nyinyi Dada zetu kwa kuwapeleka hao majangili au wahamiaji haramu Uhamiaji ilio chini ya wizara ya mambo ya ndani,wezenu wakifanikisha wanachotaka ndio hivyo tena balaa ju ya balaa,amkeni madada zangu ili tuikomboe NCHI YETU,naitwa mdudu KAKAKUONA,siku njema ndugu zangu watanzania,

    ReplyDelete
  2. kazi nzuri sana tz tupo juu....keep it up mkurugenzi

    ReplyDelete
  3. ANGALIA WEWE HAPO BONGO KUNA NIGERIANS,GHANANS,CAMEROONS,SENEGALESE,WAKONGO, WABURUNDI,RWANDAS.ZAMBIANS WOTE AKILI YAO NI KUPATA PASPOTI ZA KITANZANIA. NJIA RAHISI WANAWATUMIA DADA ZETU KWAFIX KALI ILI WAOANE NAO WAPATE URAHISI WA KUSAFIRI KWENDA NJE NA KUANZA KUITUMIA PASSPORTS ZA KITANZANIA KWA KWENDA KUFANYIA VURUGU ZAO NA KUSAFIRISHA MADAWA NA UPORAJI WAKISHIKWA WANAONEKANA NI WATANZANIA

    ReplyDelete
  4. Passport ya tz unaipata kwa kununua sio lazima kuoa hao madada wa tz,na usifikiri ukioa tu unapewa Uraia .Watz wenyewe wa kuzaliwa wanapewa pass baada ya kuonga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...