Tamasha la 32 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo 2013,limekuwa likichukua sura mpya kadri siku zinavyokwenda,huku makundi mbali mbali ya sanaa na utamaduni yakiendelea kutoa burudani.
Home
Unlabelled
Moja ya maonyesho kwenye Tamasha la 32 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Ankali, naona globu ya jamii imejibu kiu ya wanablogu ndani ya saa 24, asanteni Ankal na wadau wote wa tamasha la Kimataifa la Sanaa Bagamoyo.
ReplyDelete