Anaitwa Linah Sanga,kutoka nyumba ya vipaji THT akiimba jukwaani usiku huu
Watu kibao,kila mmoja akijichia kivyake huku jukwaa likiwaka moto vilivyo kwa miondoko ya bandika bandua ya wasanii wanaotumbuiza.
Wakali wengine wanaokuja kwa kasi katika anga bongofleva-hip hop,Stamina na Youngkiller wakilishambulia jukwaa kwa kushusha mistari mikavu live.
Shangwe kila kona za mashabiki zimetawala uwanjani hapa.
Mwanadada
Shilole akionesha umahiri wake wa kunengua jukwaani mbele ya maelfu ya
watazamaji waliojitokeza usiku huu kwenye tamasha la Serengeti fiesta
2013.
PICHA ZAIDI LIVE INGIA MICHUZIJR.BLOGSPOT.COM
Songea hamwendi kwasababu kule ni Malawi.
ReplyDelete