Ujenzi wa Barabara ya Kutoka Manyoni,Itigi mpaka Tabora unaonekana kwenda kwa kasi nzuri kama inavyoonekana pichani.Barabara hiyo ina Urefu wa Kilometa 254 na iwapo itakamilika mapeka kama ilivyopangwa,itakuwa imerahisisha sana safari kwa watumiaji wa njia hiyo wakaokuwa wanakwenda Mkoani Tabora na maeneo mengine.
 Moja ya Katapila likiendelea na kazi ya Ujenzi katika Barabara hiyo.
 Mafundi wakiweka moja ya Madaraja katika barabara hiyo.
 Kifusi kikimwagwa.
 Sehemu ya Mkeka huo iliyokamilika,japo bado magari hayajaanza kuruhusiwa kutumia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. kwa nini barabara zetu nyingi zinajengwa na dangerous kona, nyingine ni unnecessary, angali hiyo picha kwa highway kama hiyo ni speed za mabasi yetu si hatari tupu hapo, kwa nini wasijitahini kuweka straight bara bara ku avoid hilo kona hata kama itakuwa gharama kidogo zaidi

    ReplyDelete
    Replies
    1. AnonymousJuly 07, 2014

      Land profile ndio imesababisha kuwe na corner kali,ili kusiwe na corner kali lazima huo mlima unaouona hapo ushushwe na hulo bonde hapo lijazwe....so madereva wawe makini tu.....stop givin arguments za kitoto

      Delete
  2. hii ni barabara muhimu sana na mara itakapokamilika pamoja na kile kipande cha Tabora - Kigoma kwa kweli tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana
    Mungu Ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  3. Duh sasa hii highway na kona kali namna hio, si nijanga jingine hili!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...