Meneja wa Vodacom Zanzibar Bw.Mohamed Mansour(kulia)akimkabidhi hundi yenye thamani ya shilingi 100,000 wakala wa M-PESA Mwanakwerekwe Unguja Zanzibar Bw.Ali Mohamed alijishindia fedha hizo katika Promosheni ya “Mkwanja kwa Wakala” yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom Tanzania.Kampuni hiyo imetenga kiasi cha fedha cha Shilingi Milioni 810 mahususi kwa mawakala wake, ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni hiyo.

Wakala wa M-PESA Miembeni Unguja Zanzibar Bw.Salum Omar (kushoto)akipokea cheti cha utambuzi na fedha kiasi cha shilingi 100,000 toka kwa Meneja wa Vodacom Zanzibar Mohamed Mansour,alijishindia fedha hizo katika Promosheni ya “Mkwanja kwa Wakala” yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom Tanzania.Kampuni hiyo imetenga kiasi cha fedha cha Shilingi Milioni 810 mahususi kwa mawakala wake, ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni hiyo.
Wakala wa M-PESA Gizenga Street Miembeni Unguja Zanzibar Bw.Joseph Kisali(kushoto)akipokea hundi yenye thamani ya shilingi 100,000 toka kwa Meneja wa Vodacom Zanzibar Bw.Mohamed Mansour,alijishindia fedha hizo katika Promosheni ya “Mkwanja kwa Wakala” yenye lengo la kuboresha maisha ya mawakala wa kampuni ya Vodacom Tanzania.Kampuni hiyo imetenga kiasi cha fedha cha Shilingi Milioni 810 mahususi kwa mawakala wake, ikiwa ni sehemu ya kutambua na kuthamini Mchango wao kwa jamii ya watanzania na kampuni hiyo.
brother Michuzi wacha utani bwani. huu ni uandishi gani? ni upotevu wa habari Gizenga street iko stone town waka miembeni iko ngambo. Ni sehemu mbili ambazo hata hazipo jirani kabisa.
ReplyDelete