Mwenyekiti wa mtandao wa wanamuziki Tanzania, John Kitime akifafanua jambo wakati wa warsha ya siku moja ya wanamuziki na wadau wa muziki Tanzania katika kujadili mambo mbali mbali ikiwemo mustakabali mzima na mwenendo wa muziki nchini Tanzania. Warsha hiyo imefanyika leo katika mgahawa wa Nyumbani jijini Dar es Salaam.
Wanamuziki na wadau wa muziki wakifuatilia warsha hiyo. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hawa wanamuziki wa kizazi kipya bado saaana, yaani hawajajielewa bado na ndio maana wanalaliwa kweli.Ujanja mwingi mbele kiza na elimu nayo inachangia.

    ReplyDelete
  2. Jamani nimefarijika kumuona Bob Haisa, tatizo nini? hivi unajua nyimbo zako kuwa zinakubalika?? Basi rudi kwenye game.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...