Familia ya Marehemu Joel Mwendamaka wa Dodoma, wanasikitika kutangaza kifo cha ndugu Chaka (Joseph) Joel Mwendamaka, kilichotokea jana Alasiri,Hazina Mkoani Dodoma.
habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote popote walipo Dar es Salaam, Tanga, Dodoma, Mwanza, Arusha, Kigoma, Iringa, Mbeya, Uongozi na Wafanyakazi wote wa Dodoma Hotel.
Mazishi yatafanyika Jumatatu Mchana Mkuzi, Muheza Tanga. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
- Amen
Taarifa imetolewa na Peter Joel Mwendamaka na Mwani Nyangassa
Poleni sana familia ya Mwendamaka. Mungu awatangulie katika kila hatua ya kumhifadhi mahali pake ndugu yetu mpendwa Chaka.
ReplyDeleteR.I.P Joel na poleni sana wafiwa.
ReplyDeleterip baba mkubwa
ReplyDeleteDuuh RIP Chaka
ReplyDelete