Familia ya Marehemu Joel Mwendamaka wa Dodoma, wanasikitika kutangaza kifo cha ndugu Chaka (Joseph) Joel Mwendamaka, kilichotokea jana Alasiri,Hazina Mkoani Dodoma.

habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote popote walipo Dar es Salaam, Tanga, Dodoma, Mwanza, Arusha, Kigoma, Iringa, Mbeya, Uongozi na Wafanyakazi wote wa Dodoma Hotel. 

Mazishi yatafanyika Jumatatu Mchana Mkuzi, Muheza Tanga. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe. 

- Amen

Taarifa imetolewa na Peter Joel Mwendamaka na Mwani Nyangassa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Poleni sana familia ya Mwendamaka. Mungu awatangulie katika kila hatua ya kumhifadhi mahali pake ndugu yetu mpendwa Chaka.

    ReplyDelete
  2. R.I.P Joel na poleni sana wafiwa.

    ReplyDelete
  3. rip baba mkubwa

    ReplyDelete
  4. Duuh RIP Chaka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...