"Familia ya Rais mstaafu mzee Ali Hassan Mwinyi inasikitika kutangaza kifo Cha mjukuu wao mpendwa Ali Hashim Othman kilichotokea jana. Msiba utakuwa nyumbani kwa Rais mstaafu Mikocheni na mazishi yatafanyika kesho, tarehe 21 oktoba, adhuhuri huko yombo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. hakika sisi ni wa Allah na kwake tutarejea.tupo ktk foleni.zamu yake imefika,nasi bila shaka tutafuatia zamu zetu zikifika

    ReplyDelete
  2. inna lillah wa inna ilayhi rajiun, Allah akurehemu

    ReplyDelete
  3. Innalillah wainallah rajiun. Allah ailaze mahal pema peponi roho ya kipenzi cha babu, kipenzi cha marafiki, kipenzi cha kila aliyekutana naye... Aamin.

    ReplyDelete
  4. inna lilah wainna ilahi rajioun.

    ReplyDelete
  5. jamani kwa wanao fahamu huyu ni (babu Ali)..............poleni kwa msiba wafiwa.

    ReplyDelete
  6. Kwa aliyekujua babu ally hakika atakuwa namaumivu sana kama niliyonayo mimi, ningumu kuelezea ila Mungu pekee ndiyo anajua, poleni ndugu, jamaa na marafiki wote akiwepo rafikio mkubwa Emmanuel Mchechu(Muhina) ambaye umemuacha katika mazingira magumu sana ghafla,kimwili hatupo nawe ila kiroho tupo nawe milele,mwenyezi Mungu akulaze mahali Peña peponi, Amen.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...