Pichani ni Kivuko cha juu cha Watembea kwa Miguu kinachojengwa eneo la Mabatini jijini Mwanza,ambacho kinaendelea na ujenzi hivi sasa.Kivuko hiki kikikamilika kitasaidia sana kupunguza ajali za mara kwa mara katika eneo hilo ambalo linamsongamano mkubwa sana wa watu. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. VIVUKO HIVI VINAHITAJIKA SEHEMU NYINGI ZA BARABARA YA MOROGORO KUNAZIA STOPOVER, SUKA, KWAMSUGURI, MBEZI MWISHO-STENDI YA ZAMANI ILI KUPUNGUZA FOLENI KUBWA ZA MAGARI KATIKA BARABARA HII NI MUHIMU WAPITA KWA MIGUU WAWE HURU.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...