Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Tumieni akili na maarifa uusaka Utajiri na sio Uchawi!

    Mwanza, msituaibishe Watanzania, kama mlivyoona fursa za Mapesa na Utajiri zimejaa kibao nchini Tanzania!

    Mliona ktk Fiesta Twenzetu mwaka huu 2013 Waheshimiwa Mhe.Yahya Nawanda Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Mhe.Januari Makamba Naibu Waziri wa Mawasiliano na Mhe.William Massele Naibu Waziri wa Nishati na Madini wakitoa michongo kibao ya Fursa zilizojaa nchini Tanzania!

    Mliona Wahamiaji haramu wakibebwa na Operesheni Kimbunga huku wakija nchini kwa Michongo ya Kibwege kama Ujambazi na uuzaji wa Kahawa na Uhalifu, sasa ninyi mnakuja tumia Uchawi na viganja vya mikono kuzisaka Noti?

    Ahhh zindukeni na mtumie fursa hizo!

    ReplyDelete
  2. sasa hao watastahili adhabu gani jamani mbona dunia imekwisha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...