Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji,Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai ya bendera ya taifa) akiwapokea Wafanyabiashara kutoka Ubelgiji leo hii katika Bandari ya Zanzibar. Wafanyabishara 65 kutoka Ubelgiji wanaendelea na ziara ya siku tano ya kibiashara Tanzania.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mhe.Balozi Kamala anaipeperusha vema Bendera na Tanzania popote alipo!

    Ni dalili ya Uzalendo kwa mwenendo wake.

    Pana Mdau mmoja liwahi kuandika humu kuwa eti ohhh Mhe. Kamala amezidisha sana kuvaa Tai ya Bendera eti hata hafui!

    Sasa hivi Mdau Mhe. Kamala alikwambia kwamba ana pea moja tu ya Tai na kwamba hana ingine?

    TUIPENDE TANZANIA KWA MOYO NA VITENDO !

    ReplyDelete
  2. Mhe.Balozi Kamala anaipeperusha vema Bendera na Tanzania popote alipo!

    Ni dalili ya Uzalendo kwa mwenendo wake.

    Pana Mdau mmoja liwahi kuandika humu kuwa eti ohhh Mhe. Kamala amezidisha sana kuvaa Tai ya Bendera eti hata hafui!

    Sasa hivi Mdau Mhe. Kamala alikwambia kwamba ana pea moja tu ya Tai na kwamba hana ingine?

    TUIPENDE TANZANIA KWA MOYO NA VITENDO !

    ReplyDelete
  3. Mdau wa juu:

    Watu wa namna hiyo Uzalendo wao ni sifuri (huyo aliyekuwa anapinga Mhe. Balozi Kamala kuvaa Tai yenye rangi za Benera ya Tanzania) hawatufai kabisa nchini!

    Utakuta huyo Mjinga anaye lalamika anavaa Fulana yenye Bendera ya Uingereza au Marekani.



    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...