Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa


  1. Mzee Temba ulipata uraia wa US ukijua fika sheria za uraia wa Tanzania. Mmechoka sasa mnataka kuanza kusumbua. Tutawanyanganya na hayo mashamba!

    ReplyDelete
  2. We namba 1 hapo juu Kama huna sera. Kaa kimya unatoa vitisho Kama nani?

    ReplyDelete
  3. Nampenda mdau hapo juu! Huyu Mzee ni MBWEMBWE tu! Alishatangaza yeye Tanzania Hapana . Na atuache na Tanzania yetu!

    ReplyDelete
  4. Kweli bwana huyu mzee ni dokta wa PHD ila anavyojipandisha chati. Mke wake ni Dentist - kuna watu toka wamezaliwa hawaja kanyaga kwa dentist na wako hai.
    Wako manesi wanasaidia hodi ya wazazi watoto kumi kila siku wanazaliwa na hawapigi kelele. Dokta uwe wewe!! Nilikuwa nafatilia hichi kijiwe ila hapa wameniboa

    ReplyDelete
  5. Huyu mzee naona alitoka nyumbani muda mrefu na bado ana yale mawazo kwamba Tanzania ina wasomi wachache. Nataka kumwambia wasomi ni wengi sana Tanzania ya leo. Phd kibao. Uwe unatembelea nyumbani mara kwa mara uone mabadiliko.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...