Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI KUTOKA KWA WADAU WA NEW YORK
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ReplyDeleteMzee Temba ulipata uraia wa US ukijua fika sheria za uraia wa Tanzania. Mmechoka sasa mnataka kuanza kusumbua. Tutawanyanganya na hayo mashamba!
We namba 1 hapo juu Kama huna sera. Kaa kimya unatoa vitisho Kama nani?
ReplyDeleteNampenda mdau hapo juu! Huyu Mzee ni MBWEMBWE tu! Alishatangaza yeye Tanzania Hapana . Na atuache na Tanzania yetu!
ReplyDeleteKweli bwana huyu mzee ni dokta wa PHD ila anavyojipandisha chati. Mke wake ni Dentist - kuna watu toka wamezaliwa hawaja kanyaga kwa dentist na wako hai.
ReplyDeleteWako manesi wanasaidia hodi ya wazazi watoto kumi kila siku wanazaliwa na hawapigi kelele. Dokta uwe wewe!! Nilikuwa nafatilia hichi kijiwe ila hapa wameniboa
Huyu mzee naona alitoka nyumbani muda mrefu na bado ana yale mawazo kwamba Tanzania ina wasomi wachache. Nataka kumwambia wasomi ni wengi sana Tanzania ya leo. Phd kibao. Uwe unatembelea nyumbani mara kwa mara uone mabadiliko.
ReplyDelete