Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi mbalimbali wa chama hicho mara baada ya kuwasili mpakani mwa Wilaya ya Kyela na Rungwe mapema leo asubuhi,wakati ujumbe huo ulipokuwa ukiwasili wilayani Rugwe kwa ziara ya siku 11 ndani ya mkoa wa Mbeya.pichani shoto sambamba ni Katibu wa NEC,Itikasi na Uenezi ,Nape Nnauye akisalimiana na wanachama wa CCM.
Kada Maarufu wa CCM,Bwa. Richard kasesela akisalimiana na Katibu wa NEC,Siasa na Mahusiano ya Kimataifa,Dkt.Asharose Migiro mara baada ya kuwasili mpakani mwa Wilaya ya Kyela na Rungwe mapema leo asubuhi,wakati ujumbe huo ulipokuwa ukiwasili wilayani Rugwe kwa ziara ya siku 11 ndani ya mkoa wa Mbeya.pichani shoto sambamba ni Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi ,Nape Nnauye akisalimiana na wanachama wa CCM.
"Karibu sana nyumbani Kaka Nape"...Kada Maarufu wa CCM,Bwa. Richard kasesela akisalimiana Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi ,Nape Nnauye.
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI
Mmmh mi naona kasi ya CCM itawatoa wapinzani damu puani.
ReplyDeleteBibo,
ReplyDeleteLazima wakupe ubunge this time. I see you so deep in politics lakini watch out mizengwe ya siasa its part of the package.
M4C YA CHADEM NA KASI YAO IMEWAAMSHA CCM USINGIZINI. FAIDA ITAKUWA KWA WANANCHI. NDIO MATUNDA YA VYAMA VINGI!
ReplyDeleteKila nikiangalia vijana wanasiasa ktk chama tawala ambao ndio wanatayarishwa kushika madaraka, sioni dalili yoyote ya nchi hii kubadilika kuelekea maendeleo.
ReplyDelete