Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo.
Naibu Waziri wa Fedha Saada Salum,akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano huo, kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais kwa ufunguzi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akijumuika na baadhi ya Viongozi na wadau katika na Mkutano wa Majadiliano na Wiki ya Sera za kuondoa Umaskini, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo.
Baadhi ya wadau walioshiriki katika mkutano huo wa majadiliano.Picha na OMR
Umasikini tuuondoe kabisa unaturudisha nyuma.
ReplyDelete"Umasikini tuuondoe kabisa..."
ReplyDeleteKamwe huwezi kuondoa umasikini kabisa; unaweza kupunguza umaskini kabisa!
Umaskini ni dili kwa wachache, ndo maana hii wiki itaendelea kuadhimishwa MILELE.
ReplyDelete