Mdau, Prosper Minja, akifuatilia hotuba ya Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Dodoma pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo wakati wa Mahafali ya Nne ya chuo hicho ambapo wahitumu waliaswa kuwa "elimu ni mchumba siyejua kutoa talaka."
Mdau akiwa na familia yake mara baada ya mahafali ya Nne ya Chuo Kikuu cha Dodoma ambapo alitunukiwa Shahada ya Uzamili katiaka Mahusiano ya Kimataifa.
Mdau akiwa na washirika waliohitimu pamoja katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hongera sana Prosper Minja!

    Kweli wewe ni Jemadari na Vita umeshinda!

    Well done Prosper Minja you inspire me so much !!!!

    ReplyDelete
  2. Kwa Mafanikio na eunezi alioufanya ndugu yetu Prosper Minja, pana kila sababu Serikali ikatoa Fursa zaidi za mazingira ya wengi zaidi hasa walio Makazini kuifikia Elimu ya Juu.

    Ni maswali mengi tutaweza kujiuliza kama hapa chini:

    1.Prosepr Minja alipanga vipi muda wake huku akiwa ktk utendaji wa kazi na akasoma?

    2.Propser Minja amekuwa akisikika Dar na tunaona hapa anahitimu akiwa Dodoma ni kiasi gani ilimgharimu kufikisha lengo?

    3.Je, ni wangapi wangependa wawe kama ndugu Prosper Minja lakini mazingira ya kazi na majukumu yanawabana, na wasijue watafikia vipi lengo?

    NAMALIZA KWA KUSEMA,

    KILA LA HERI KTK MAISHA YAKO YA KITAALUMA,

    HONGERA SANA NDUGU PROSPER MINJA!

    ReplyDelete
  3. Niliwahi kuwa na jamaa yangu mmoja rafiki yangu wa zamani akiamini MIA KWA MIA ya kuwa kupata Elimu hutegemeana na umri wa Msomaji!

    Jamani mtazamo huo hapo juu ni finyu kwa kuwa Elimu hutafutwa kwa vingi likiwemo jitihada!

    Hongera sana Mdau Prosper Minja!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...