Peter Tosh anakupa 'Mama Africa'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ankal hizi ngoma uzipendazo unafahamu kuzicheza BILA KUKUNJA GOTI lakini??Kuna vijana fulani kutoka TZ wa muziki wa kizazi kipya nimewaona kwenye luninga wakichezacheza bila kukunja goti-Inafurahisha sana,nimecheka hadi leo mbavu zinauma-Mko juu vijana,keep it up.


    David V

    ReplyDelete
  2. Hahahaha David V,

    Kweli naona miujiza kulicheza Reggae 'bila kukunja goti' !!!

    ReplyDelete
  3. Duhhh !

    Maisha tuliyo wahi kupitia huko nyuma tukiya kumbuka inakuwa kama ndoto vile?

    Huwezi amini Miziki kama hii tukiisikia wengi wetu kimtindo tunakumbuka mibangi tuliyo puliza miaka ya nyuma wengine kwa siri sana tukiwa miaka hiyo Wasela!

    ReplyDelete
  4. Mdau wa 3 juu,

    Umenikumbusha msamiati mmoja tuliubuni Shuleni.

    Unajua ule uvutaji wa siri pana siku moja Mwanafunzi mwenzetu alikuwa ni mfuasi wa Marley lakini kwa siri sana huku wengi tusijue.

    Ikatokea siku moja akatumiwa 'mzigo' kutoka Zomba-Malawi na Mjomba wake aliyekuwa Dreva wa Lori.

    Sasa kutokana na jinsi jamaa livyo kuwa msiri sana alikuwa pia anavuta kwa siri sana wengine tusijue, alipovuta mzigo wa Zomba-Malawi kwa kweli alilipuka vibaya saaana watu wakajua amepata Malaria ya kupanda kichwani kama Kichaa!

    Baada ya kukaguliwa Zahanati akakutwa na furushi la mzigo uliomdatisha akaulizwa na Mwalimu ameupata wapi akasema ametumiwa na Mjomba wake kutoka Zomba-Malawi!!!

    Hivyo baada ya jamaa kupona na kurejea Darasani ndio Mwalimu wetu alikuwa anatuasa na sisi tusije kutumia ZOMBA ambalo lilimpagawisha hadi kukaribia kuwa Kichaa Mwanafunzi mwenzetu!!!

    Mwalimu akawa akautumia Msamiati mpya wa ZOMBA kutuasa na sisi.

    ReplyDelete
  5. Hehehehehe !


    Ewe Ndau wa Tatu 3 juu umepiga Pentagoni Makao Makuu, baada ya kupuliza sana 'majani' miaka ileee na sasa hivi wengi wetu ndio tumekuwa Masheikh wakubwa kabisa na Vibandiko vyetu visogoni na wengine Makoti makubwa kabisa tukiwa Wachungaji !

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...