Kaimu Mkurugenzi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Chiku Matessa akiwasilisha kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge inayohusu masuala ya Ukimwi na dawa za kulevya, mada ya utekelezaji wa mfuko huo sera ya ukwimwi mahali pa kazi, Uongozi wa NSSF ulipokutana na kamati hiyo kwenye Ofisi za Bunge mjini Dodoma
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Ukimwi na dawa za kulevya Lediana Mg'ong'o na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk. Faustine Ndungulile, wakizungumza na uongozi wa NSSF wakati uongozi huo ulipowasilisha mpango wake wa utekelezaji, sera ya ukimwi mahala pa kazi.
Meneja wa utoaji mafao ya matibabu wa NSSF, Dk. Ali Mtulia, akifafanua jambo, mblele ya Kamati hiyo ya Bunge ya Ukimwi na dawa za kulevya





Are they practicing what they preach?
ReplyDelete