Mkuu wa Mkoa wa Lindi Ludovick Mwananzila katikati akizungumza na
Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha MEIS Bwana Merey Balhabou (L) pamoja na meneja wa bandari ya Mtwara bwana Absalom Bohela wakati wa sherehe ya kupokea shehena ya pili ya mitambo ya ujenzi wa kiwanda cha cementi cha MEIS mkoani mtwara.
Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha cement cha MEIS bwana Merey Balhabou kushoto akifafanua jambo kwa mkuu wa mkoa wa Lindi Ludovick Mwananzila pamoja na walikwa walio hudhuria sherehe kupokea shehena ya pili yamitambo ya ujenzi wa kiwanda cha cement mkoani Lindi mitambo hiyo imewasili katika bandari ya Mtwara ikitokea nchini china.Picha na Chriss Mpinanga.
Michuzi,
ReplyDeleteAfadhali safari hii mmemtaja Boss ''MB'' wa Kiwanda cha Simenti kwa jina lake kamili tunalo lifahamu wengi.
Tofauti na kumtaja kwa majina mapya ambayo wengi tulishangaa wakati mtu hadi ktk Muziki wa Kizazi Kipya na Bendi za Muziki ameimbwa sana tu!
Licha ya uwezo mkubwa wa Kifedha uliopo, masuala haya uendeshaji wa Viwanda yanahitaji sana kufungamana na Mabenki.
ReplyDeletePana Benki moja muhimu sana nayo ni BARCLAYS!!!
Ebwana eeee!
ReplyDeleteHivi Barclays wana taarifa ya Kiwanda hiki ili nao wawekeze kwenye Mradi?
Tanki yatari lina kutu!
ReplyDeleteHongera Meneja wa bandari kwa uchapaji wako kazi,bado nakumbuka utendaji wako wa kazi ulipokuwa bandari ya Dsm na hatimaye Kyela port
ReplyDelete