Mkuu wa Mkoa wa Lindi Ludovick Mwananzila katikati akizungumza na Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha MEIS Bwana Merey Balhabou (L) pamoja na meneja wa bandari ya Mtwara bwana Absalom Bohela wakati wa sherehe ya kupokea shehena ya pili ya mitambo ya ujenzi wa kiwanda cha cementi cha MEIS mkoani mtwara.
Mkurugenzi mkuu wa kiwanda cha cement cha MEIS bwana Merey Balhabou kushoto akifafanua jambo kwa mkuu wa mkoa wa Lindi Ludovick Mwananzila pamoja na walikwa walio hudhuria sherehe kupokea shehena ya pili yamitambo ya ujenzi wa kiwanda cha cement mkoani Lindi mitambo hiyo imewasili katika bandari ya Mtwara ikitokea nchini china.Picha na Chriss Mpinanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Michuzi,

    Afadhali safari hii mmemtaja Boss ''MB'' wa Kiwanda cha Simenti kwa jina lake kamili tunalo lifahamu wengi.

    Tofauti na kumtaja kwa majina mapya ambayo wengi tulishangaa wakati mtu hadi ktk Muziki wa Kizazi Kipya na Bendi za Muziki ameimbwa sana tu!

    ReplyDelete
  2. Licha ya uwezo mkubwa wa Kifedha uliopo, masuala haya uendeshaji wa Viwanda yanahitaji sana kufungamana na Mabenki.


    Pana Benki moja muhimu sana nayo ni BARCLAYS!!!

    ReplyDelete
  3. Ebwana eeee!

    Hivi Barclays wana taarifa ya Kiwanda hiki ili nao wawekeze kwenye Mradi?

    ReplyDelete
  4. Tanki yatari lina kutu!

    ReplyDelete
  5. Hongera Meneja wa bandari kwa uchapaji wako kazi,bado nakumbuka utendaji wako wa kazi ulipokuwa bandari ya Dsm na hatimaye Kyela port

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...