Viongozi wa Mpito wa Umoja huo wakiwa kwenye picha ya pamoja katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Nchini Kenya (Nairobi), kutoka Kulia ni; Bi. Nasikiwa Berya (Mtoa Habari), Bw. Shemu Beldon (Mratibu), Bw. Glen Kapya (Mwenyekiti), Bw. Michael Urio (Makamu Mwenyekiti, mstari wa nyuma), Bw. Kapila Kavenuke (Muwakilishi), Mh. Innocent Shiyo (Balozi Daraja, Ubalozi wa Tanzania Nchini Kenya), Bw. Erasto Kamugisha (Katibu Mkuu) na Bw. Kanyopa Gastor (Mratibu). Umoja huu unaunganisha Watanzania wote walioko Nchini Kenya ambao ni Wanafunzi katika Vyuo Vikuu mbalimbali.
Bw. Glen Kapya (Mwenyekiti, Uongozi wa Mpito wa Umoja huo) akiendesha Kikao kilichokua kikijadili masuala na mikakati mbalimbali ya Umoja huo katika Ofisi za Ubalozi wa Tanzania Nchini Kenya.


.png)
.png)
jamani mbona wanaume watupu?
ReplyDeleteDada mmoja tu?
It is not fair
Msemakweli
Vijana ahsanteni sana!
ReplyDeleteNa pia Pongezi sana kwa jitihada zenu kubwa sana na Ujasiri wenu huku mkiwa sambamba na Ubalozi wa Tanzania Nairobi.
Mpo exceptional na Majasiri kuwepo nchini Kenya kwa kuwa Kipindi hiki ambapo huku nyumbani Mijadala ni Mizito sana juu ya suala la Jumuiya ya Afrika ya Mashariki tukizingatia nchi hiyo mliyopo ndiyo husika ktk hili.
MUNGU IBARIKI TANZANIA!
Asante sana jamani. Kwa kujibu hoja ya ndugu yangu hapo, wa Dada WaPo sana tu ten a tunashirikiana vizuri kabisa and WaPo very hard working kwakweli.
ReplyDelete