Council  Members Casting their votes
Ambassador Macharia Kamau, Permanent Representative of the  republic of Kenya to the UN addressing the Council
Amb. Takeda Alam ( Center) Permanent Representative of Ethiopia to the UN and head of the African  Union group fromed to address the question of ICC trials speakes to the press following the vote. With him are Amb. Nelosn Messone  of Gabon to the UN and Kenya's  Amb. Macharia Kamau.
For full story CLICK HERE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Wakenya haiwezekani kuukingia kifua Udhalimu.

    Dunia mekataa !

    ReplyDelete
  2. After Africa is after the Court, now we are seeking the way so that BIG WORLD POWERS WILL BE TOO IN COURT!

    ReplyDelete
  3. Itabidi ICC iongezee kipengele kinachosema kuwa "mtu akiwa mtuhumiwa wa kesi katika ICC haruhusiwi kugombea Urais mpaka kesi yake itakapo kwisha".

    Uhuru aliwa mtuhumiwa,tazama sasa amegeuza kesi yake kuwa ya kimataifa. Ingawa wakati wakampeni ya urais alikuwa akiwadanganya wakenya kuwa kesi yake na ICC ni suala lake binafsi.

    Kwa wanaosem kuwa atakuwa Rais wa kwanza alie madarakani kusimama mahakamani ktk ICC!!! Wamasahau kuwa Uhuru ni mtuhumiwa wa kwanza alie na kesi ICC kuchaguliwa kuwa Rais.

    Watu wenye busara ndani na nje ya Kenya walimshauri ajisafishe kwanza kabla ya kugombea Urasi hakusikia. Na Wakenya milioni 6 kwa maksudi wakamchagua kwa misingi ya kikabila kama kawaida yao wakijua kuwa ana-kesi ya kujibu. Sasa imefika wakati wa kuvuna walichopanda wanaanza kuhaha,nakutaka kuwalaumu watu wengine.



    ReplyDelete
  4. Hawa UN wampeleke BUSH pale ICC kama kweli wao wako fair na wanaume.ICC was african leaders which i think its pure bs.

    ReplyDelete
  5. IMPUNITY NI TABIA YA KUTUMUA MADARAKA YAO VIBAYA NA KWA MAKUSUDI HUKU WAKIJIAMINI KUWA NGUVU ZAO ZITAWALINDA. TUNASEMA IMPUNITY BASI!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...