Hivi Ni kweli hili shimo Linawafurahisha?Tena lipo Soko kuu Manispaa ya Lindi,Nalo linahitaji tenda Bodi kwa ajili ya kuliziba.....
Nani anawajibika Tanroads,TTCL au Manispaa?Limeshaleta ajali za pikipiki baiskeli
Juzi tu Mbunge mstaafu aliuvaa mkenge hapo ila gari lake mmmmmhhh.... Ni njia kuu ya kwenda Hospital ya mkoa, Zimamoto na kwenye Majumba ya wakubwa wa wilaya na mkoa...Je mpaka tuseme ??? 
 Picha na Abdulaziz Video Lindi


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hapa mpaka itokee ajali itakayo sababisha kifo, ndio wahusika wataamka kutoka usingizini.

    ReplyDelete
  2. Tanzania ya viongozi wavaa suti.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...