Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mike Tee and Nature nyimbo imesimama!

    ReplyDelete
  2. The mdudu, anasema msema kweli ni mpenzi wa mungu wetu huyu kijana JUMA NUTURE hakuna mfano wake kwa hapo Tanzania nzima,,mm ni mzaliwa wa Morogoro na tuna vijana wenye vipaji vya hali ya juu kabisa kama vile Afande Sele,Stamina,Bele9,Mc koba,na wengine lukuki,lakini huyu Nuture ni balaa hashikiki yaani haimbi bali anashona,na watu wa karibu na huyo Juma wanasema huwa haandiki mashaili yake kwenye karatasi, yote yapo kwenye ubongo,,je mtu kama huyu utamfananisha na nani jamani,,na niliogopa zaidi pale ule mwanamusic wa kimarekani anaeitwa LI KIM sijui ni mwaka gani alipokujaga hapo Tanzania yetu wadau mtanisaidia kwahilo coz sikumbuki vizuri,,hakiyamungu huyu dada kakili mbele ya umaati wa waandishi wa habali wakule U.S.A ya kwamba kakutana na kijana wa KITANZANIA kwa jina anaitwa JUMA NATURE bila kificho kasema muda ukifika atafanya kazi nae na yuko sure mambo yataenda sawa,wito wangu kwa wadau wa MJOMBA MICHUZI tumpeni ushilikiano huyu kijana ili atutoe kimasomaso sisi watanzania KIMATAIFA..amani kwa watanzania wote

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...