Askari feki wa Usalama Barabarani ambae Jina lake halikufahamika haraka akiwa chini ya Ulinzi mkali wa Askari Polisi (hayupo pichani) mara baada ya kukamatwa kwa kujifanya ni askari wa usalama barabarani huku akifahamu kuwa ni kosa kisheria. Inasemekana Mtuhumiwa aliwahi kuwa askari wa Usalama barabarani ambapo kituo chake cha Kazi kilikuwa Mkoa wa Pwani na ni mmoja kati ya askari waliofukuzwa kazi kwa kuenda kinyume na taratibu na sheria za Jeshi la Polisi Tanzania
 Askari Polisi ambae jina lake halikufahamika mara moja (Mwenye sweta) akimkamata kwa makini mtuhumiwa aliyejifanya askari wa usalama barabarani leo katika eneo la Chamazi Jijini Dar Es Salaam
Askari feki akishangaa na kuduwaa mara baada ya jeshi la Polisi Kumtia nguvuni leo Katika Eneo la Chamazi Jijini Dar Es Salaam Mapema leo.Picha Kwa Hisani ya Mdau.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Njaaa jamani nchi haina ajira na watoto wanataka Kula na kusoma muhurumieni tu bora alivyotumia akili yake kuliko kuwa jambazi

    ReplyDelete
  2. Hapo lazima kuna jambo, si amini kama wanaweza kudhalilishana wenyewe kwa wenyewe namna hii.

    ReplyDelete
  3. Hii inathibitisha kuwa RUSHWA ni source kubwa ya kipato nchini.Huyu bwana alikuwa hategemei malipo kutoka wizarani bali alijua kwa rushwa maisha yatakwenda.Piga vita rushwa haya yote yatakwisha..

    ReplyDelete
  4. Masikini Emmanuel Saif kumbe alikuwa Askari feki dah inasikitisha sana. Nimeshamuona sehemu nyingi ila nakumbuka alikuwa Askari polisi nikashangaa na nikampa hongera baada ya kumuona na nguo za polisi tena trafic

    ReplyDelete
  5. Afadhali huyu fake anaibia watu je hao wengine wa halali na wanaibia madereva kwa kuomba rushwa nao inakuwaje maana wote ni wizi tu

    ReplyDelete
  6. Laiti kama Askari wasingekuwa wanataka rushwa ambayo ndio inayowashawishi kuwa askari feki...Kusingekuwa hivi....RUSHWA NI TATIZO KUBWAA....TAKUKURU ipo ila haifanyi kazi kabisa ipo tuu kula hela za wananchi

    ReplyDelete
  7. Huyo jamaa askari wa barabarani namfahamu kaka kwa jina moja anaitwa Emmanuel, nilikua nae Makongo enzi hizo , alinitangulia darasa , alisha nitosa mimi na washikaji kadhaa akiwa kiranja akidai tume mtukana kua yeye shoga, kumbe alikua shoga kweli na alimtaka jamaa yetu anaitwa methew protas muchwampaka , alikua motto wa Ticha muchwampaka pale makongo , kweli nilisha muona na uniform pale Mwenge ila nine shangaa cheo kupanda kwa kasi hivyo , baadae alikua kibaha pale stand na kiukweli ana tabia za kishoga tangu tukiwa sekondari , huyo mwenzetu muchwampaka alituthibitishia hivyo .....sasa Sijui alifukuzwa na kwa kosa gani ....makonda wa Mwenge wana mjua kwa unoko wake na hako katabia kengine

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...