Mpendwa wetu Lucas Makaya Mkandya.

Nimwaka mmoja wenye huzuni tangu ulipofariki dunia.

Masaa, siku, wiki, miezi na hatimaye leo mwaka mmoja, toka siku ile ulipotutoka tarehe 25-2-2015.

ulipotuacha kwa majonzi ya kutokuamini Kama kweli umeondoka, lakini kwetu ni kama jana tu maana Upendo na Busara zako kwetu bado upo nasi na utaendelea kuwa nasi milele kiroho. 

Lucas Makaya Mkandya
unakumbukwa sana na Mke wako Mariam Mkandya, mwanao Alice Mkandya, Dada zako, wadogo zako na ndugu na jamaa wote. 
Warumi 14:7-9.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Umeshinda kaka yetu! Bwana amekupa makao yaliyo bora sana! Ulipigana vita vya imani kwa amani sana! Wala hakuna siku ulipiga na kwa hila! Umemaliza mwendo! Siku zote uliwajali wanyonge! Bwana Yesu atukuke kwani wewe ni chuo kamili ktk maisha ya familia! Mauti yako ina thamani sana Mbele zake Aliyekupenda zaidi! Lala salama Baba

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...