Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Mhe Nape Nnauye akifungua kikao chao cha kazi cha mwaka cha Maafisa habari na mawasiliano serikalini katika ukumbi wa VETA, Morogoro .
Maafisa habari na Mawasiliano Serikalini wakimsikiliza Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo mhe Nape Nnauye wakati akifungua kikao chao cha kazi cha mwaka ukumbi wa VETA Morogoro.
Maafisa habari na Mawasiliano Serikalini wakijitambulisha muda huu mbele ya Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo mhe Nape Nnauye ambae atafungua kikao chao cha kazi cha mwaka ukumbi wa VETA Morogoro.

Maafisa habari na mawasiliano serikalini wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano huo,mara baada ya kujitambulisha mbele ya Waziri wa habari, utamaduni, sanaa na michezo Mhe Nape Nnauye ambae amefungua kikao chao cha kazi cha mwaka ukumbi wa VETA Morogoro.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo BW. Assah Mwambene (wa pili kushoto) akiwa na wadau baada ya kumsindikiza Mhe. Nape Nnauye baada ya kufungua kikao cha kazi cha mwaka cha Maafisa habari na Mawasiliano Serikalini katika ukumbi wa VETA Morogoro.

 Katibu Mkuu katikja Wizari ya habari, utamaduni, sanaa na michezo Profesa  Prof Elisante Ole Gabriel akiongoza kikao hicho.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania, TBC Bw. Clement Mshana akitoa mada ya mbinu za kuimarisha Mawasiliano ya Serikali kwa Umma kupitia vipindi vy Radio na Televisheni.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Serikali Mtandao Dk.Jabir Bakari akitoa mada katika kikao kazi hizo
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...