Home
Unlabelled
MAMBO YAANZA KUNOGA DARAJA JIPYA LA NYERERE KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nashauri wahudumiaji wa daraja hili ikiwemo NSSF iwalipe watu wa kufanya usafi ili mataka taka na plastiki yasitawanyike ovyo kwenye daraja. Hata hivyo itabidi wale wanaotaka kutumia daraja kwa event yo yote nao walipie kiasi fulani ili kusaidia kwenye kuweka usafi.
ReplyDeleteThe mdudu, Mjomba Michuzi umeniangusha kwa hili la Kigamboni? au la Nyerere au umetumiwa hiyo habari na kwa nini hujastukia hilo jina?
ReplyDeleteMaharusi hawachelewiwacha wakanyage kwa raha nchini kwao.
ReplyDeleteWahusika watenge bajeti ya usafi wa daraja kutoka kwenye mapato ya tozo ili liwe katika hali ya usafi.
ReplyDeleteHao lazma watakuwa wasukuma! bure MAgufuli alisema wazaramo! kumbe nduguze mwenyewe ndio aliwalenga ha ha ha ha !
ReplyDelete