Mkurugenzi wa Masoko ya Fedha kutoka Benki kuu ya Tanzania (BOT) Bw. Alexander Ng’winamila (katikati) akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam kuhusu uwekezaji kwenye dhamana za Serikali. Kulia ni Meneja Msaidizi Uhusiano wa Umma na Itifaki wa BOT Bi. Victoria Msina na Kushoto ni Meneja Msaidizi Masoko ya Ndani wa BOT Bw. Genes Kimaro.
Home
Unlabelled
WANANCHI WAHAMASISHWA KUWEKEZA KWENYE DHAMANA ZA SERIKALI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Fursa za kuwekeza kwenye treasury bonds zisiwapite wananchi wawekezaji makini
ReplyDelete