

KOMBE LATUA JANGWANI: Chereko na nderemo uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam wakati Waziri wa Kilimo Mwigulu Nchemba akiikabidhi Yanga Kombe la Ligi Kuu. Huu ni ubingwa wa 26.Yanga walikabidhiwa kombe hilo na Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mh Mwigulu Nchemba, ambae ndie alikuwa mgeni rasmi.


Hiyo background ya red & white inapendeza sana!!!! Nadhani ndio maana hata timu zote kubwa za ulaya pia hupend rangi hizi. Hongereni kwa kuikubali hiyo background.
ReplyDeleteKalagabaho...watu tunasherehekea ubingwa..........rangi nyekundu mchangani aka matopeni!
ReplyDelete