Kijipu upele kilichopo katika makutano ya barabara ya Gaden na Barabara ya Mirambo, Posta jijini Dar es Salaam kuna chimichemi isiyokauka.

Chanzo cha chemichemi hiyo ni Chemba ya majitaka iliyo pembeni mwa makutano ya barabara hizo ambayo haiangaliwi na wahusika na hasa watumiaji wa chemba hiyo.
Kibaya zaidi makutano ya barabara hiyo kuna ofisi ya Umoja wa ...... Posta jijini Dar es Salaam kama kamera ya MMG iliyonasa taswira ya eneo hilo leo asubuhi.
Chanzo kikiwa kimeacha kufurukuta kwa kutoa maji machafu yanayoenea katika kakutano ya barabara ya Garden na barabara ya Mirambo.
Muonekano halisi.
Wanaohusika na kushughulikia maji taka washughulikie. Hilo shimo la barabarani nalo lizibwe ajali zingine zinasababishwa na kukwwepa mashimo.
ReplyDelete